NBC Premier League leo Ijumaa
Saa 10:00 jioni, watakuwa uwanja wa nyumbani Mbeya City KMV Complex wakiwakaribisha JKT Tanzania.
JKT wanaingia katika mchezo huu wakitoka kupata sare mchezo uliopita wakati Mbeya wametoka kucheza kichapo mchezo uliopita.
Je, leo ni JKT ama The Purple Nation nani kuondoka na alama tatu?
Mechi hii itaruka mbashara kupitia AzamSports1HD.
#NBCPL #Azamtvsports
