Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imewatahadharisha wananchi kukaa mbali na kila kinachoashiria kuwa ni rushwa hususani katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29 na kukumbusha kuwa kosa hilo huwahusisha wote wanaolishiriki.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi