Ubalozi wa Norway kwa kushirikiana na Taasisi ya Private Agricultural Sector Support (PASS) Trust wamesaini makubaliano ya kutekeleza Mradi wa Kuimarisha Mnyororo wa Thamani wa Soya unaolenga kuendeleza sekta ya kilimo nchini kupitia ubunifu, fedha jumuishi na teknolojia rafiki kwa mazingira.
Kupitia mradi huo, Norway imetoa msaada wa dola milioni 2.4 za Marekani, huku PASS Trust ikichangia kupitia mfumo wake wa dhamana ya mikopo wa wakulima zaidi ya 12,500 wanatarajiwa kunufaisha.
Sheila Mkumba ameandaa taarifa ifuatayo.
Mhariri @moseskwindi