Wanachama wa Taasisi ya Maendeleo ya Viziwi Tanzania wilayani Mpanda wamepatiwa elimu ya uhamasishaji wa matumizi safi ya kupikia kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na kusaidia washiriki hao kupata uelewa kuhusiana na faida ya matumizi yake kwa afya na mazingira.
Mhariri | @claud_jm
#AzamTVUpdates