Wataalamu wa matibabu ya magonjwa ya moyo nchini wamefanikiwa kupata namna mbadala ya kutibu magonjwa hayo hivyo kuleta matumaini mapya ya kukabiliana na ongezeko la magonjwa yasiyo ya kuambukiza yakiwemo magonjwa ya moyo.

Tumie Omary ameandaa taarifa zaidi.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *