Watendaji wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wametakiwa kusimamia na kufuata miongozo yote ya uchaguzi ili kuhakikisha mchakato wa kidemokrasia unafanyika kwa uwazi na kwa usahihi.

Kauli hiyo imetolewa na Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Chwaka, Wilaya ya Kati, Unguja, ambaye aliwaasa watendaji wote kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao kwa uadilifu, kuepuka upendeleo wowote, na kuhakikisha haki za wananchi zinaheshimiwa wakati wa uchaguzi.

Mhariri | @claud_jm

#AzamTVUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *