Waziri Mstaafu wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu anatrajia kukutana na Vijana Mikoa ya Kanda ya Ziwa lengo ni kuhamasisha V…Waziri Mstaafu wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu anatrajia kukutana na Vijana Mikoa ya Kanda ya Ziwa lengo ni kuhamasisha V…

Waziri Mstaafu wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu anatrajia kukutana na Vijana Mikoa ya Kanda ya Ziwa lengo ni kuhamasisha Vijana hao kutumia haki yao ya Kidemokraaia kushiriki Uchaguzi wa Oktoba 29.

Mbali na hilo Nyalandu amewahamasisha wananchi wa kanda ya Ziwa kumpokea Mgombea Urais wa Tz Dokta Samia Suluhu Hasaan anayetaraji kuhitimisha Kampeni zake Jijini Mwanza.

#StarTvUpdate

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *