YANGA SC: “Huenda labda akaja kuangalia mechi, akawepo uwanjani”

YANGA SC: “Huenda labda akaja kuangalia mechi, akawepo uwanjani”
Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally amesema mpaka kufikia mwishoni mwa juma hili, wanaweza wakawa washamalizana na kocha wao mpya na inawezekana kesho Jumamosi akawepo katika dimba la Benjamin Mkapa akitazama mechi yao dhidi ya Silver Strikers.

Kamwe amekanusha madai kwamba walikuwa wamemuandaa Kocha Patrick Mabedi ili wamtupie virago Kocha Romain Folz.

Yanga itashuka katika dimba la Benjamin Mkapa kucheza mchezo wa mkondo wa pili wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL), saa 11:00 jioni LIVE #AzamSports3HD

Imeandikwa na @jairomtitu3
Mhariri: @allymufti_tz

#WednesdayNightLIVE #Yanga

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *