YANGA vs SILVER STRIKERS: Kikosi cha Silver Strikers kimepiga tizi lake la mwisho jioni ya leo tayari kuwakabili Yanga kwenye mc...

YANGA vs SILVER STRIKERS: Kikosi cha Silver Strikers kimepiga tizi lake la mwisho jioni ya leo tayari kuwakabili Yanga kwenye mchezo wa marudiano kusaka tiketi ya kufuzu hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika.

Khadija Khalifa anaripoti kutoka Dimba la Benjamin Mkapa…

Mechi hii ni saa 11:00 jioni LIVE #AzamSports1HD

#CAFCL #YangaSC #SilverStrikers

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *