YANGA vs SILVER STRIKERS | Mchambuzi wa soka, Michael Hyera akichambua kwa kina takwimu za Yanga SC kuelekea katika mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Silver Strikers kwenye dimba la Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
Mechi ni kesho Jumamosi saa 11:00 jioni LIVE #AzamSports3HD.
Imeandaliwa na @jairomtitu3
#AzamFC #KMKM #CAFCC #KombelaShirikishoAfrika