YANGA vs SILVER STRIKERS: “…yatafunguliwa saa 4:00 asubuhi na yatafungwa saa 8:30 mchana”
Huu hapa utaratibu wa kuingia dimbani kwenye mchezo wa kusaka tiketi ya kufuzu hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika…
Ally Kamwe anazungumza…
Mechi hii ni saa 11:00 jioni LIVE #AzamSports1HD
#CAFCL #YangaSC #SilverStrikers