#HABARI: Kufuatia taarifa zilizosambaa katika mitandao ya kijamii juu ya Mchungaji wa KKKT Usharika wa Boay Eleth Mtaita kudaiwa kutekwa na watu wasiojulikana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara, Ahmed Makarani, amesema kuwa jeshi hilo linamshikilia Mchungaji huyo kwa tuhuma za kufanya uchochezi wa kuhamasisha wananchi wasiende kupiga kura Oktoba 29 mwaka huu.
Akizungumza kwa njia ya simu Kamanda Makarani amesema jeshi hilo linamshikilia Mchumgaji huyo kwa ajili ya mahojiano kuhusu tuhuma za uchochezi.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.