#HABARI: Mfanyabiashara maafuru nchini Rostam Azizi (pichani) akiwa na Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe.Hakainde Hichilema wakati walipokutana katika Ikulu ya Lusaka baada ya mazungumzo ya kikazi.

Bilionea Rostam aliyeanza kuwekeza nchini Zambia katika sekta ya nishati alionekana katika viunga vya Jiji la Lusaka wiki kadhaa zilizopita.

Rais Hichilema na Rostam walikutana kwa mara ya kwanza takriban miaka miwili iliyopita.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *