#HABARI: Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) Devotha Minja, amesema chama hicho kikipewa ridhaa ya kuongoza taifa kitabadili muelekeo wa nchi kwa kuja na sera madhubuti ambazo zitajielekeza katika kuhakikisha wananchi wananufaika na rasilimali zilizopo nchini kwa kupata huduma za msingi ikiwemo Elimu, Afya na Mageuzi ya Kiuchumi.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania