#HABARI: Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Kwela mkoani Rukwa ndugu Josephat Kayombo amesema watu 237,090 ambao walijitokeza kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura, wanatarajia kupiga kura Oktoba 29 /2025 katika vituo 598 ili kumchagua rais, wabunge na madiwani.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *