#HABARI: Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limefanikiwa kuokoa upotevu wa mapato unaokadiriwa kufikia shilingi bilioni 1.7, kufuatia utekelezaji wa zoezi la ukaguzi wa miundombinu ya umeme linaloendelea kote nchini.
Akitoa tathmini ya utekelezaji wa zoezi hilo mapema wiki hii, Meneja Msimamizi wa mfumo wa Mita, Mhandisi Nyanda Mlagwa, alisema ukaguzi huo ulianza mwezi Julai 2025 ukilenga kubaini matumizi yasiyo halali ya umeme na kudhibiti vitendo vya wizi unaosababisha hasara kwa Shirika na Serikali.
“ Napenda kuutarifu umma kuwa hadi sasa, ukaguzi uliofanyika umebaini upotevu wa takribani shilingi bilioni 4, ambapo zaidi ya bilioni 1 zimeshalipwa na wateja waliobainika kuwa na makosa, huku wengine wakiendelea kulipa madeni yao,” alibainisha Mhandisi Mlagwa.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.