#HABARI: Zaidi ya wananchi 6000 wa Jamii ya Wawindaji na Waokota Matunda ya Wahadzabe, wanaoishi katika Bonde la Yaeda Chini, wilayani Mbulu, mkoani Manyara, waliojiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura wamesema wako tayari kujitokeza kupiga kura, katika Uchaguzi Mkuu, utakaofanyika Oktoba 29 mwaka huu, ili waweze kupata viongozi bora watakaopeleka huduma za kijamii katika maeneo yao ikiwemo vituo vya afya na maji.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *