KURASA ZA MWISHO: “Kuwa na kocha mkuu mzawa ni sahihi kabisa wala hakuna anayekataa”
Mchambuzi wa soka Phillip Nkini akieleza umuhimu wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kuwa na kocha mkuu ambaye ni mzawa akisema kwamba anaweza kutimiza malengo ya timu hiyo kisoka.
Kwa upande wake mchambuzi @charlesabel24 ameeleza tofauti iliyopo kati ya falsafa na mpango wa timu katika mchezo wa mpira wa miguu, kwa kusema kuwa kuchukua kocha mzawa ni mpango wa timu husika na sio falsafa.
Imeandikwa na @davidkyamani
Mhariri: @allymufti_tz
#KurasaZaMwisho #TaifaStars