KUTOKA BENJAMIN MKAPA: Mashabiki wa Yanga SC wadamkia katika dimba la Benjamin Mkapa, wasimulia maisha yalivyokuwa mitaani kwao baada ya kufungwa goli 1-0 na Silver Strikers nchini Malawi.
Mashabiki hao wajitamba kuwa matajiri wao wana pesa na ndio maana leo wanaingia bure uwanjani kutazama mechi.
Mechi ya leo ni saa 11:00 jioni LIVE #AzamSports3HD
#CAFCL #LigiYaMabingwaAfrika #YangaSC #SilverStrikers