KUTOKA MUSOMA: “Hayawihayawi yamekuwa, mnyama atakuwa uwanjani”
Mkuu wa Wilaya ya Musoma, Juma Chikoka ameipongeza Azam FC, kuingia hatua ya Makundi katika Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) huku akizitakia kheri Singida Black Stars, Yanga SC na Timu ya Simba SC.
Chikoka ameyasema hayo wakati akihitimisha matembezi na mbio zenye kauli mbiu isemayo “kimbia kwa afya, tembea kwa Amani na jitokeze kupiga kura na kusema kufanya vizuri kwa timu hizo zinakuza utalii wa ichezo nchini.
Mwandishi: Augustine Mgendi
Mhariri: @allymufti_tz
#CAFCL #CAFCC