LALIGA kuendelea kushika kasi leo
Saa 1:30 usiku, Athletic Bilbao watakuwa nyumbani wakiwaalika Getafe.
Mechi hii itaruka mbashara kupitia ZBC2.
Saa 4:00 usiku, Valencia watakuwa uwanja wa nyumbani Mestalla wakiwakaribisha Villarreal.
Mtanange huu utakuwa mbashara kupitia AzamSports4HD.
Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama Laliga
#Azamtvsports
