LEO, Wananchi Yanga SC watakuwa dimba la Benjamin Mkapa wakiwakaribisha Silver Striker kutoka Malawi, mechi ya marudiano Ligi ya Mabingwa Afrika.
Mechi hii itapigwa kuanzia saa 11:00 jioni na kuruka mbashara kupitia AzamSports3HD.
Wananchi wanaingia katika mchezo huu wakisaka ushindi wa zaidi ya goli moja ili kutinga hatua ya makundi ya michuano hii.
Kwa kiifurushi cha shilingi 28,000 unatazama mchezo huu.
#CAFCL #YangaSC #Azamtvsports
