Trump aelekea Asia kwa mazungumzo na Xi Jinping na pia kulenga kukutana na Kim++++Rubio aahidi kurejeshwa miili ya mateka wote nchini Israel++++Waziri wa Ujerumani ajificha kwenye handaki wakati wa mashambulizi ya Urusi mjini Kiev+++Viongozi wa upinzani Cameroon wakamatwa huku maandamano yakizuka juu ya matokeo ya uchaguzi.