Marekani yadaiwa kutuma droni kufuatilia hali katika Ukanda wa Gaza++++Jeshi la Ukraine ladai kukikomboa kijiji cha kimkakati cha Torske+++Raia nchini Ivory Coast wapiga kura ya kumchagua rais mpya ++++Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu uhalifu wa mitandaoni kusainiwa nchini Vietnam+++Marekani yataka kumhamishia raia wa Salvador Abrego Garcia nchini Liberia.