Mkuu wa Wilaya ya Musoma, Juma Chikoka amewahimiza wananchi wa wilaya hiyo kujitokeza kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29 na kuwaambia kuwa serikali imeendelea kufanya juhudi za kuboresha huduma za kijamii hususani afya wilayani humo.

Chikoka ametoa kauli hiyo wakati wa mbio maalum za kuhamasisha ushiriki katika Uchaguzi Mkuu sambamba na kulinda afya.��

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *