#NBCPL: Pamoja kucheza pungufu baada ya mchezaji Mohamed Salum kupata kadi nyekundu, lakini Mashujaa wamefanikiwa kuzilinda alama tatu kwenye uwanja wao wa nyumbani.
FT: Mashujaa 1-0 Namungo
Mechi inayofuata ni Fountaon Gate dhidi ya KM, saa 10:15 jioni
LIVE #AzamSports1HD
#NBCPL #NBCPremierLeague #LigiKuuTanzania #ImenogaZaidi #MashujaaVsNamungoFC #Mashujaa #Namungo #MSHNMG
