Serikali kupitia Wizara ya Kilimo imeanza kutekeleza awamu ya kwanza ya mpango wa ugawaji wa mitambo midogo ya umwagiliaji kwa vikundi vya wakulima katika mikoa saba nchini yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 3.5.
Joyce Mwakalinga ameandaa taarifa ifuatayo.
Mhariri @moseskwindi