SIMBA vs NSINGIZINI: “Hatukuweza kuruhusu goli lakini kulikuwa na makosa mengi tumeweza kuyafanya”
Nahodha wa Simba SC, Shomari Kapombe anasema pamoja na ushindi wa magoli 3-0 walioupata kwenye mechi ya mkondo wa kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Nsingizini Hotsupurs, lakini safu yao ya ulinzi ilifanya makosa mengi.
Kapombe anasema kwa sasa wanaiachia safu ya ushambuliaji ifanye kazi yake na wao wataimarisha ulinzi.
Mechi ni kesho saa 10:00 jioni LIVE #AzamSports1HD
(Imeandikwa na @allymyfti_tz)
#CAFCL #Simba