Taasisi ya Tanzania Jumuishi (TAJU) inayotetea haki za watu wenye ulemavu nchini imetoa wito kwa Watanzania kushiriki uchaguzi mkuu kwa amani na utulivu bila kujihusisha na vurugu na machafuko.
TAJU imetoa wito huo hii leo jijiji Dar es Salaam zikiwa zimesalia siku chache kuelekea siku ya uchaguzi, Oktoba 29, 2025.
Imeandaliwa na Rebeca Mbembela.
Mhariri @moseskwindi