YANGA vs SILVER STRIKERS: Hali ilivyo nje ya dimba la Benjamin Mkapa mapema asubuhi ya leo ikiwa ni saa chache kuelekea mechi ya mkondo wa pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga SC dhidi ya Silver Strikers.
Mechi ni saa 11:00 jioni LIVE #AzamSports3HD
#CAFCL #LigiYaMabingwaAfrika #YangaSC #SilverStrikers