#CAFCL Meneja Mkuu wa Simba, Dimitar Pantev anasema ameumizwa na matokeo ya leo huku akiomba radhi mashabiki pamoja na kuweka wazi kilichomnyima goli lolote
Kwa upande Nsingizini, kocha anawapongeza wachezaji kwa ushindani waliouonesha dhidi ya Simba licha ya uchanga wao kwenye michuano ya CAF.
FT: Simba SC 0-0 Nsingizini Hotspurs (Agg: 3-0).
#CAFCL #CAFChampionsLeague #LigiYaMabingwaAfrika #NsingiziniHotspurs #SimbaSC #SSC #SimbaNsingizini
(Feed generated with FetchRSS)