#ElClasico Pongezi kwa Szczęsny baada ya kuokoa penati ya Mbappe…!!
Je, unadhani Real walikosea kumpa Mbappe aipige??
80’: Real Madrid 2-1 Barcelona (Mbappe 22’, Bellingham 43’ / Lopez 38’)
Anayeunguruma kwa Kiswahili ni #SeifBongi LIVE #AzamSports4HD
#LaLigaEASports
#LigiKuuHispania #LaLiga #LaligaUpdates #RealMadrid #FCBarcelona #RealMadridBarca

(Feed generated with FetchRSS)