#HABARI: Baadhi ya Wakulima wa zao la Mbaazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, wameiomba Serikali kuwekeza zaidi na kuwatafutia mbegu bora za zao hilo, ili waweze kuongeza tija katika uzalishaji ikiwa ni pamoja na kuendelea kuwatafutia masoko ya uhakika.

Baadhi ya wakulima wa zao la Mbaazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, wametoa ombi hilo mara baada ya chama Kikuu cha Ushirika Wilaya ya Tunduru (TAMCU) mkoani humo kuhitimisha minada ya kuuza Mbaazi kwa mfumo wa stakabadhi ghalani msimu huu.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *