#HABARI: Rais wa Tanzania Dkt @samia_suluhu_hassan ameandika historia mpya kabisa, baada ya kufanikisha timu nne za mpira wa miguu Tanzania kufuzu hatua ya makundi katika mashindano ya Afrika.
Timu hizo ni Simba na Yanga zilizofuzu hatua ya makundi michuano ya Klabu Bingwa Afrika, Azam na Singida zilizofuzu hatua ya makundi michuano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika.
Dkt. Samia aliazisha hamasa ya Goli la Mama ambapo alikuwa analipia kila goli linalofungwa kiasi cha Tsh Milioni 5 hivyo kufanya timu kuwa na hamasa zaidi ya kupata ushindi na kuondoka na kitita hicho cha pesa.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

(Feed generated with FetchRSS)