Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imetoa tahadhari ya mvua kubwa inayotarajiwa kunyesha kesho katika baadhi ya maeneo ya m...

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imetoa tahadhari ya mvua kubwa inayotarajiwa kunyesha kesho katika baadhi ya maeneo ya mikoa ya Dar es Salaam, Tanga, Morogoro, Pwani na visiwa vya Mafia na Unguja na Pemba.

Taarifa ya Mamlaka hayo kwa vyombo vya habari leo Jumapili, Oktoba 27,2025 imesema kuwa mvua hizo zitadumu mpaka Jumanne ambako zitaongezeka hadi mikoa ya Kilimanjaro na Arusha.

Kufua hali hiyo, TMA imewataka wananchi kuchukua tahadhari ili kuepuka athari zitakazojitokeza kutokana na mvua hizo.

#StarTvUpdate

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *