
Shambulio la ndege zisizo na rubani za Urusi dhidi ya Kyiv limeghariumaisha ya watu watatu, meya wa mji mkuu wa Ukraine, Vitali Klitschko, ametangaza leo Jumapili. “Kulingana na ripoti za awali, watu watatu wameuawa na 27 wamejeruhiwa (wakiwemo watoto sita)” katika wilaya ya Desnianskyi ya mji wa Kyiv, Vitali Klitschko ameandika kwenye Telegram.
Imechapishwa:
Dakika 1 Wakati wa kusoma
Matangazo ya kibiashara
Siku ya Jumamosi, Oktoba 25, Rais Volodymyr Zelensky kwa mara nyingine amewataka washirika wake kulinda anga la Ukraine baada ya shambulio la Urusi lililogharimu maisha ya watu wanne.
Shambulio la ndege zisizo na rubani za Urusi dhidi ya Kyiv limegharimu maisha ya watu watatu, meya wa mji mkuu wa Ukraine, Vitali Klitschko, ametangaza Jumapili, Oktoba 26.
Habari zaidi zinakujia…