YANG Z | Yanga walimaliza jambo lao jana …. na hivi ndivyo vijana wa #YangZTaifa walivyoitikia wito wa uongozi kuisapoti timu yao ndani ya Dimba la Benjamin Mkapa.
Yanga ikapindua meza, na kutinga hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika kwa mara nyingine.
FT: Yanga SC 2-0 Silver Strikers (Agg: 2-1)
Muda huu, Simba wako dimbani dhidi ya Nsingizini… Je, itakuwaje??
#YangZ #YangZTaifa #YangaSC #CAFCL #YangaSilverStrikers