Jumanne hii, timu taifa ya wanawake Twiga Stars watakuwa uwanja wa ugenini Dire Dawa nchini Ethiopia ikicheza mechi ya marudiano...

Jumanne hii, timu taifa ya wanawake Twiga Stars watakuwa uwanja wa ugenini Dire Dawa nchini Ethiopia ikicheza mechi ya marudiano na Ethiopia kuwania kufuzu WAFCON.

Mechi hii itaruka mbashara kupitia AzamSports4HD.

#Wafcon #TwigaStars

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *