Juventus yamfuta kazi kocha wake mkuu Igor Tudor kufuatia matokeo mabaya ya timu hiyo

Juventus yamfuta kazi kocha wake mkuu Igor Tudor kufuatia matokeo mabaya ya timu hiyo.

Katika mechi tatu zilizopita wamechezea vipigo huku katika mechi nane za mwisho hawajapata ushindi.

Uongozi wa timu hiyo umemteua Massimo Brambilla akiteuliwa kama kocha wa muda.

#Juventus #seriea

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *