KUTOKA ETHIOPIA: Tazama mazoezi ya kwanza ya Timu ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania (Twiga Stars) katika dimba la Kimataifa la Di...

KUTOKA ETHIOPIA: Tazama mazoezi ya kwanza ya Timu ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania (Twiga Stars) katika dimba la Kimataifa la Dire Dawa, Ethiopia kuelekea mchezo wa marudiano wa Kufuzu WAFCON 2026 dhidi ya wenyeji wao Ethiopia utakaochezwa Oktoba 28, 2025.

Wenzetu Veronica Manywele na @kalugiratimzoo wapo pamoja na kikosi hicho.

#TwigaStars

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *