KUTOKA ETHIOPIA: Tazama ‘tizi’ la mwisho la Timu ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania (Twiga Stars) kabla ya kesho kuwakabili wenyeji wao Ethiopia.
Twiga Stars ipo Ethiopia kucheza mchezo wa marudiano wa Kufuzu WAFCON 2026
Wenzetu Veronica Manywele na @kalugiratimzoo wapo pamoja na kikosi hicho.
#TwigaStars