LALIGA leo Jumatatu
Saa 5:00 usiku, Real Betis watakuwa uwanja wa nyumbani Villamarin wakiwakaribisha Atletico Madrid.
Katika msimamo wa Laliga, Betis na Atletico wote wana alama 16.
Je, ni wenyeji wa mchezo ama wageni nani kuondoka na alama tatu?
Mechi hii itaruka mbashara kupitia AzamSports4HD.
#laliga #azamtvsports #Realbetis #atm
