Leo, itafanyika droo ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa upande wa Wanawake

Leo, itafanyika droo ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa upande wa Wanawake.

Je, wawakilishi wa Tanzania, JKT Queens kupangwa na timu gani?….usikose kufatilia droo hii mbashara kupitia AzamSports3HD kuanzia saa 7:00 mchana.

#CAFWomen’s #JKTQueens

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *