MSHIKEMSHIKE: Timu nne za Tanzania kwa mara ya kwanza katika historia zimefuzu hatua ya makundi mashindano ya CAF. Zifanye nini cha ziada ili zifike hatua za juu zaidi?
Tuandikie maoni yako hapa na sisi tutayasoma kwenye kipindi cha Mshikemshike saa 3:00 usiku LIVE #AzamSports1HD
#Mshikemshike

