TWIGA STARS: “Tumekuja kutafuta ushindi, na siyo kujilinda”
Kikosi cha Twiga Stars chakamilisha maandalizi yake kuelekea mchezo wa marudiano dhidi ya Ethiopia kusaka tiketi ya kufuzu WAFCON 2026, huku kocha Bakari Shime akieleza kuhusu utayari wao….
Naye nahodha wa kikosi hicho, Opah Clement kwa niaba ya wachezaji amesema wako tayari kuipambania bendra ya nchi….
Hii hapa taarifa kutoka nchini Ethiopia ikiripotiwa na @kalugiratimzoo
#TwigaStars #KufuzuWAFCON2026