YANGA SC: “…tumeweka rekodi ya kuwa timu ya kwanza Tanzania ambayo imecheza hatua ya makundi mara tatu mfululizo”

YANGA SC: “…tumeweka rekodi ya kuwa timu ya kwanza Tanzania ambayo imecheza hatua ya makundi mara tatu mfululizo”

Baada ya kutimiza malengo yao ya kwanza kuingia hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga wanasema malengo mapya yanasubiri kuwajua wapinzani watakaopangwa nao kundi moja…

Huyu hapa Ally Kamwe akisema “…tutakuwa na msimu bora sana”

#YangaSC #AllyKamwe

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *