YANGA vs MTIBWA SUGAR: “Kocha Patrick Mabedi atakuwa msaidizi namba mbili”
Meneja Habari na Mwasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe ametoa ufafanuzi wa majukumu yalivyo kwenye benchi lao la ufundi ambalo sasa linaongozwa na Kocha Pedro Goncalves, huku msaidizi nambari moja ni Filipe Pedro.
Kamwe pia amezungumzia kama Kocha Pedro atakuwa kwenye benchi kesho kwenye mchezo wao wa NBC Premier League dhidi ya Mtibwa Sugar.
Mechi ni saa 10:00 jioni LIVE #AzamSports1HD
(Imeandikwa na @allymufti_tz)
#NBCPL #NBCPremierLeague
