YANGA vs MTIBWA: “Yanga ni binadamu wa kawaida…wanafungika…”

YANGA vs MTIBWA: “Yanga ni binadamu wa kawaida…wanafungika…”

Tambo za Msemaji wa Mtibwa Sugar, Thobias Kifaru kuelekea mchezo wao dhidi ya Yanga, akumbushia jinsi walivyopata ubingwa wao wa ligi kupitia mechi dhidi ya Yanga….

Mechi ni saa 10:00 jioni LIVE #AzamSports1HD

#NBCPremierLleague #NBCPL #YangaSC #MtibwaSugar

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *