KOCHA WA YANGA NI WA AINA GANI?…Mchambuzi wa soka ‘Kachero’ @abissay_stephen amemchambua kwa undani kocha mpya wa Yanga SC, Pedro Goncalves na umaarufu wake ulipoanzia.
Kachero anasema mfumo wa kocha huyo ukiitika pale mitaa ya Jangwani, basi mashabiki wa timu hiyo watakuwa wanaangalia mpira huku wanakula popcorn.
#Kocha #Yanga