KUTOKA ETHIOPIA: “Mechi tuliyokuja kucheza ni ya ushindani mkubwa”

KUTOKA ETHIOPIA: “Mechi tuliyokuja kucheza ni ya ushindani mkubwa”
Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF, Issa Bukuku amesema pamoja na kwamba Timu ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania (Twiga Stars), ilishinda magoli 2-0 kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza wa Kufuzu WAFCON 2026, bado inahitajika jitihada zaidi kwasababu Ethiopia sio timu rahisi.

Buku yupo nchini Ethiopia pamoja na Twiga Stars ambayo leo itacheza mchezo wa mkondo wa pili Kufuzu WAFCON 2026

Mechi hiyo itapigwa saa 9:00 alasiri kwa saa za Afrika Mashariki.

Wenzetu Veronica Manywele na @kalugiratimzoo wapo pamoja na kikosi hicho.

#TwigaStars

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *